Portada

MAMA WA BENGALI - UZUNGUMZI NAFSI WA KIUTENZI IBD

NSEMIA INC.
12 / 2024
9789914760040

Sinopsi

áâÇÖMama wa BengaliâÇÖ (Bangamata wetu), uzungumzi nafsi wa kiutendi wa Shehe Fazilatunnesa Mujib, mwanamke mwenye uwezo usio wa kawaida wa historia ya kibinadamu, kwa msaada wa mpango wa masomo, ufikirivu na utafiti. Uzungumzi nafsi huu wa kiutendi umeandikiwa wasomaji wachanga, na wakati uo huo, ni tamthilia kamilifu ya mhusika mmoja iwezayo kuwasilishwa kwenye redio na jukwaa la maigizo.***************âÇÖMother of BengalâÇÖ (Our Bangamata), an epic monologue of Sheikh Fazilatunnesa Mujib, the exceptionally great woman of human history, with the help of study plan, imagination and research. This epic monologue is written for young readers, at the same time, it is a complete drama of a single character producible on radio and theatre stage.

PVP
32,22